
Posted by On the spot Tz
4:55:00 PM
0
Wakala Mino Raiola ndiye anaonekana kuwa na simu iliyo busy zaidi katika kipindi hiki cha usajili barani Ulaya.
Mino
raia wa Italia ambaye ni wakala wa kuuza wachezaji anayetambuliwa na
Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) anaonekana kuwa “on fire” kwa
kipindi hike kuliko mawakala wengine.
Wachezaji wake ndiyo wamekuwa gumzo la uhamisho huku klabu mbalimbali zikigongana kutaka kuwapata.
Baadhi yao ni Zlatan Ibrahimovich anayehusishwa kwenda Manchester United na klabu kadhaa kubwa, pia Paul Pogba ambaye Real Madrid wameishaonyesha nia.
Pia Romelu Lukaku na Mario Balotelli ambaye imeelezwa Mino ameanza mazungumzo na Besiktas ya Uturuki ili ajiunge nayo.
Kiungo
staa wa Dortmund, Henrikh Mkhitaryan ambaye anahusishwa na kujiunga na
Man United ambayo imelazimika kuongeza dau kumbana, pia yuko chini ya
wakala huyo anayeaminika kuwa mjeuri na anayejiamini.

Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: