
Posted by On the spot Tz
4:49:00 PM
0
OMOG |
Kocha
Mghana, Sellas Tetteh naye anasubiri kuona kama timu yake ya Sierra
Leone kama itafuzu Afcon au la. Ikishindwa, ndiyo anaweza kutua nchini
na kujiunga na Simba.
Suala
hilo, linawafanya Simba waone muda unasonga kwa kuwa tayari kocha
aliyekuwa chaguo lao la kwanza, Kalisto Pasuwa wa Zimbabwe naye
alibadili uamuzi wa kujiunga nayo baada ya kuiwezesha Zimbabwe kufuzu
Afcon.
![]() |
TETTEH |
Simba
wamekaa na wanaona chaguo lao la tatu, Joseph Omog raia wa Cameroon
anaweza kuwa msaada mkubwa, hivyo wamalizane naye kabisa kimkataba.
Uamuzi wa Tetteh ulionekana kuwagawa Simba, wengine wakitaka asubiriwe. Lakini wengine wakiona muda unakwenda matiti.
Hivyo,
leo Simba inaweza kufanya uamuzi wa mwisho kuhusiana na Omog ingawa
wengi wanaona hakuna haja ya kufikiri sana kwa kuwa Omog anaijua
Tanzania na aliipa Azam FC ubingwa wa Tanzania Bara kwa mara ya kwanza
na mwisho hadi sasa mwaka 2014.

Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: