
Posted by On the spot Tz
4:59:00 PM
0

Staa LeBron James hana mpango hata kidogo wa kuondoka Cleveland Cavaliers.
Cavaliers
inamlipa jumla ya dola million 23 kwa mwaka. Naye amesema baada ya
kuiwezesha kubeba ubingwa, angependelea kuendelea kubaki.
Mchezaji
kikapu huyo maarufu kama King James, ameiwezesha Cavaliers kubeba
ubingwa wa NBA tena baada ya kuwa imefanya hivyo mwaka 1964.
Mashabiki
walijitokeza kwa wingi kuipokea timu hiyo na kumpongeza yeye katokana
na kazi nzuri aliyoifanya ya kuiangusha Golden State iliyokuwa inapewa
nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa NBA.

onthespottz.blogspot.com

Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: