Posted by On the spot Tz
5:01:00 PM
0
Nyota Lionel Messi amekuwa mfungaji mwenye mabao mengi zaidi kuliko wengine wote kwa kipindi chote katika kikosi cha Argentina.
Messi
alifikisha mabao 55 wakati alipoingiza Argentina kuitwanga Marekani kwa
mabao 4-0 katika mechi ya nusu fainali ya Copa America.
Kwa
rekodi hiyo, mshambuliaji huyo nyota wa Barcelona ameungana na
washambuliaji nyota wengine walio na rekodi za juu kama Robin van Persie
na Uholanzi, Zlatan Ibrahimovich na Sweden, Thierry Henry na Ufaransa
au Pele na Brazil.

Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: