
Posted by On the spot Tz
6:02:00 PM
0
Nyota
wa Jamhuri ya Ireland, Robbie Brady akikimbia kushangilia baada ya
kuifungia timu yake bao pekee ikiilaza 1-0 Italia katika mchezo wa Kundi
E Euro 2016 usiku huu Uwanja wa Pierre-Mauroy mjini Villeneuve
d'Ascq, Ufaransa. Pamoja na kufungwa, Italia inamaliza kileleni mwa
kundi hilo kwa pointi zake sita sawa na Ireland na zote zinafuzu hatua
ya 16 Bora.
Nahodha
wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic (Namba 10) akiruka juu kupiga mpira
kichwa dhidi ya beki wa Ubelgiji, Thomas Vermaelen (Namba 3) katika
mchezo wa Kundi E Euro 2016 usiku huu Uwanja wa Allianz Riviera
mjini Nice, Ufaransa. Ubelgiji imeshinda 1-0, bao pekee Radja
Nainggolan, ingawa zote zinatolewa kwenye michuano hiyo
onthespottz.blogspot.com
onthespottz.blogspot.com

Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: