Posted by On the spot Tz
2:34:00 PM
0
Akizungumza leo Ikulu Jijini Dar es Salaam, Rais Magufuli amewataka
wanasiasa waliopewa nafasi za uwakilishi na wananchi wajikite zaidi
katika kuwahudumia ili kuwaletea maendeleo waliyowaahidi wakati wa
kampeni.
Rais Magufuli amesema kuwa wakati wa uchaguzi umekwisha hivyo wakati wa siasa sasa nao umekwisha hivyo amewataka viongozi wao wa siasa kushirikiana nae katika kuleta maendeleo ikiwemo kumpa ushauri ambao nae ataufanyia kazi kwa maendeleo ya Wananchi wote.
Dkt. Magufuli amesema kuwa kamwe hatomvumilia mtu yoyote ambae atamchelewesha katika harakati zake za kuwaletea maendeleo wananchi, hivyo ni vyema wakaungana kwa pamoja katika kufanikisha suala hilo.
Rais Magufuli amesema wabunge waliochaguliwa waelekeze nguvu katika kuwasemea wananchi kwa kufuata demokrasia ingawa hata kuziba midomo ni demokrasia ya aina yake lakini amevitaka vyama vyote kushirikiana nae katika kulileta taifa maendeleo.
onthespottz.blogspot.com

Tagged with:
HABARI KITAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: