Posted by On the spot Tz
3:20:00 AM
0
TIMU ya taifa ya Uganda imeshinda 2-1 ugenini dhidi ya Botswana 2-1 katika mchezo wa Kundi D kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika jioni ye leo Uwanja wa Francistown Sports Complex mjini Francistown.
Matokeo hayo yanaipeleka The Cranes kileleni mwa Kundi D, wakati Botswana inabaki nafasi ya tatu.
Nahodha Geoffrey Massa alifunga bao dakika ya pili tu, lakini likakataliwa kwa madai alikuwa ameotea, lakini dakika ya tisa Kizito Luwagga aliuwahi mpira mrefu wa Tony Mawejje na kumtungua kipa wa Botswana, Kabelo Dambe kuipatia Uganda bao la kwanza.
kipa wa Cranes, Dennis Onyango alishindwa kumzuia Onkabetse Mankgatai kuisawazishia Botswana dakiak ya 50.
Hata hivyo, sherehe za wenyeji hazikudumu sana baada ya Khalid Aucho kuifungia Uganda bao la pili dakika ya 53.
Kikosi cha Botswana kilikuwa: Dambe, Gadibolae, Mafoko, Sosome, Ramoroka, Nato/Galenamotlhale dk36, Ditsele, Seakanyeng/Makgantai dk46, Moyana, Mogorosi na Ngele/Tshireletso dk73.
Uganda: Onyango, Guma, Ochaya, Isinde, Junko, Wasswa, Khalid, Mawejje, Miya/Wasimbi dk65, Luwagga/Mugerwa dk89 na Massa/Okwi dk70.

Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
HARRY KANE ATWAA KIATU CHA DHAHABU ENGLAND,,,,,,,Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiwa na picha hya kiatu cha dhahabu cha Ligi Kuu ya Enfland baada ya kiibuka mfungaji bora...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Mashabiki na Wanachama wa Yanga Wachoma Magazeti Yanayomilikiwa na Reginald Mengi.,,,,,,Wanachama na mashabiki wa Yanga leo wakiyachana na kuyachoma moto magazeti ya The Guardian na Nipashe yanayomilikiwa na kampuni ya IPP MED...
No comments: