Posted by On the spot Tz
3:14:00 AM
0
Kiungo wa Brazil, Willian akipiga mpira mbele ya kipa wa Ecuador, Dreer katika mchezo wa ufunguzi wa Copa America usiku wa kuamkia leo mjini California, Marekani. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0.
Sebastian Perez wa Colombia (kulia) akipasua katikati ya wachezaji wa Marekani katika mchezo wa ufunguzi wa Copa America jana mjini Santa Clara. Ecuador ilishinda 2-0, mabao ya Cristian Zapata na James Rodriguez kwa penalti.
Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments: