
Posted by On the spot Tz
2:48:00 PM
0

JUMA ABDUL
Beki Juma Abdul ameanza mazoezi taratibu jijini Dar es Salaam ikiwa ni baada ya kukaa nje ya uwanja kwa zaidi ya wiki moja.
Yanga ipo mjini Antalya, Uturuki ikijiandaa dhidi ya TP Mazembe, mechi itakayopigwa Jumanne ijayo jijini Dar.
Juma
amekuwa majeruhi na alilazimika kubaki nchini wakati Yanga ikisafiri
kwenda Uturuki kuweka kambi na baadaye kwenda Algeria kuivaa Mo Bejaia.
Yanga imepoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Mo Bejaia katika mechi yake ya kwanza ya Kombe la Shirikisho hatua ya makundi.
Beki
huyo wa kulia maarufu kwa ukunjaji krosi zenye macho, ameanza mazoezi
ya taratibu na ataendelea taratibu kutokana na maelekezo ya dakitari.

Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
HARRY KANE ATWAA KIATU CHA DHAHABU ENGLAND,,,,,,,Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiwa na picha hya kiatu cha dhahabu cha Ligi Kuu ya Enfland baada ya kiibuka mfungaji bora...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Mashabiki na Wanachama wa Yanga Wachoma Magazeti Yanayomilikiwa na Reginald Mengi.,,,,,,Wanachama na mashabiki wa Yanga leo wakiyachana na kuyachoma moto magazeti ya The Guardian na Nipashe yanayomilikiwa na kampuni ya IPP MED...
No comments: