FALCAO HUYU HAPA AKIJIANDAA KUREJEA NYUMBANI MONACO,,,,,,,,

Radamel Falcao yuko katika hatua za mwisho kurejea Monaco na hilo ni uhakika.

Jana amefanya vipimo via afya ili arejee katika timu yake hiyo ya Ufaransa.


Alitokea Monaco na kujiunga na Man United, mambo yakawa hovyo, akahamia Chelsea, mambo yakawa vilevile. Sasa ameona vena kurejea tena Ufaransa.
«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post


No comments:

Leave a Reply