
Posted by On the spot Tz
1:06:00 PM
0
![]() |
KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA YA VIJANA, SERENGETI BOYS KIMETINGA NUSU FAINALI YA MICHUANO YA VIJANA INAYOENDELEA NCHINI INDIA. SERENGETI BOYS KIMEFANIKIWA KUPATA SARE YA MABAO 2-2 DHIDI YA KOREA KUSINI AMBAYO INAPEWA NAFASI KUBWA YA KUTWAA UBINGWA WA MICHUANO YA VIJANA INAYOENDELEA KWENYE MJI WA GOA NCHINI INDIA. NA NDIYO ILIYOWAPA NAFASI HIYO YA KUFIKA NUSU FAINALI. MECHI ILIKUWA KALI NA BOYS WALIKUWA WA KWANZA KUPATA BAO KATIKA DAKIKA YA 12 MFUNGAJI AKIWA ASAD JUMA LAKINI KOREA KUSINI WAKASAWAZISHA KUPITIA SHIN SANGWHI. KIPINDI CHA PILI MWANZONI KILIONEKANA CHA KOREA KUSINI NA WAKAFANIKIWA KUPATA BAO LA PILI KATIKA DAKIKA YA 58 MFUNGAJI AKIWA JOUNG SUNGJUNE. HUKU MUDA UKIYOYOMA, IKIONEKANA KAMA KOREA WAMESHINDA, MAULID LEMBE AKAFUNGA BAO KATIKA DAKIKA YA 87 NA KUFANYA MATOKEO YAWE 2-2. HII ILIKUWA NI MECHI YA TATU YA BOYS, WALIANZA KWA SARE YA BAO 1-1 DHIDI YA MAREKANI, WAKAWATWANGA WENYEJI INDIA BAO 3-1 KATIKA MECHI YA PILI. onthespottz.blogspot.com |

Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
HARRY KANE ATWAA KIATU CHA DHAHABU ENGLAND,,,,,,,Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiwa na picha hya kiatu cha dhahabu cha Ligi Kuu ya Enfland baada ya kiibuka mfungaji bora...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Mashabiki na Wanachama wa Yanga Wachoma Magazeti Yanayomilikiwa na Reginald Mengi.,,,,,,Wanachama na mashabiki wa Yanga leo wakiyachana na kuyachoma moto magazeti ya The Guardian na Nipashe yanayomilikiwa na kampuni ya IPP MED...
No comments: