Basi la Mwendo Kasi Lagonga na Kuua Mtoto Jijini Dar es Salaam.....

Basi la mwendo kasi ( DART)  limemgonga na kumuua mtoto huku mama yake akinusurika baada ya pikipiki waliyokuwa wamepanda kushindwa kulipita basi hilo

Ajali hiyo imetoke leo katika  eneo la Shekilango jijini Dar es Sallam.

«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post


No comments:

Leave a Reply