MANE  AITEKETEZA  MAN  CITY,,,


                                                   SADIO  MANE

Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu peke yake Southampton dakika za 28, 57 na 68 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Manchester City Uwanja wa St. Mary's katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo. Bao lingine la Watakatifu limefungwa na Shane Long dakika ya 25, wakati ya City yamefungwa na Mnigeria Kelechi Promise Iheanacho dakika za 44 na 78 .
onthespottz.blogspot.com
«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post


No comments:

Leave a Reply