Posted by On the spot Tz
11:20:00 PM
0
Rais Paul Kagame wa Rwanda ametoa mwito kwa bara la Afrika kutumia fursa zinazoletwa na mapinduzi ya nne ya viwanda ili kujifanya kuwa mdau kamili wa mambo ya dunia.
Rais Kagame ametoa mwito huo kwenye ufunguzi wa mkutano wa baraza la uchumi wa dunia kwa Afrika jana mjini Kigali. Amesema kama teknolojia na masoko ya mitaji yakitumiwa vizuri, yanaweza kulisaidia bara la Afrika kuondokana na changamoto zilizopo sasa.
Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika Bw Akinwumi Adesina pia amesema Afrika haina chaguo ila kukumbatia mapinduzi ya nne ya viwanda, na moja ya vipaumbele katika hilo ni kuhakikisha watu wote wanapata umeme na wanaweza kutumia teknolojia za digitali.
Pamoja na kuwa soko la mitaji limetajwa kuwa na mustakbali mzuri, gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Bw Benno Ndulu amesema tatizo lililopo ni kwamba benki kubwa zimejikita kwenye nchi chache tu.
Tagged with:
KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
Shilingi Bilioni 3 na Mali za Bilioni 10 zataifishwa na TRA Kutoka kwa Wakwepa Kodi Bandari Kavu ya Azam,,,,,,,Mamlaka ya kukusanya kodi TRA kupitia madalali wa Yono Auction Mart wamekusanya mali za bilioni 3 pamoja na kutaifisha mali za b...
-
Chumba Cha Dereva Tax Chazua Kizaa Zaa Mtaa Wa Mbezi Mtoni Gold Star, Jijini Dar Baada ya Kukutwa Kimejaa Makopo ya MIKOJO na KINYESIUKIHADITHIWA na kuonyeshwa chumba cha Dereva Tax anayeonekana kitaani na katika kazi zake akiwa amepiga pamba wala hutaamini masikio yako w...
-
Mwingine Adakwa Kwa Kumkashifu Rais Magufuli Kwenye Mtandao wa "WhatsApp",,,,,,,Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais ...


No comments: