Posted by On the spot Tz
6:20:00 PM
0
Kiungo
wa Juventus, Paul Pogba na Mesut Ozil wa Arsenal wamekuwa wa kwanza
kukubali kusaidia kutoa fedha za kusaidia upasuaji wa watoto nchini
Tanzania.
Ozil
ambaye anaitumikia Ujerumani katika Kombe la Euro 2016 na Pogba ambaye
anaitumikia Ufaransa iliyo mwenyeji wa michuano hiyo, wametoa fedha
ambazo hazijaelezwa ni kiasi gani kupitia programu ya Big Foot.
Madaktari watawafanyia upasuaji watoto katika eneo la Ifunda mkoani Iringa. Imeelezwa wazazi wao hawakuwa na uwezo wa kifedha kuwawezesha kimatibabu.
Watoto wanaotakiwa kufanyiwa upasuaji ni 11, wachezaji wataotoa msaada huo ni wale wanaoshiriki michuano ya Euro 2016.
Ozil na Pogba wamekuwa wachezaji wa kwanza kujitokeza, lakini wanatakiwa wachezaji wengine 9 ili kusaidia matibabu ya watoto 11.
Big Foot ilianzishwa mwaka 2006 wakato Togo walipotoa msaada kwa watoto waliokuwa na mattaizo ya afya.
onthespottz.blogspot.com
Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
Picha za Zari Hassan Akijiachia Kuonyesha Ujauzito Wake,,,,,,,,,,Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akijiachia kuonyesha mimba yake, wanatarajia kupata mtoto wa pili na mpenz...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: