
Posted by On the spot Tz
4:55:00 PM
0
CHIRWA |
Mshambuliaji Obey Chirwa, amekwea pipa kwenda nchini Uturuki kuungana na kikosi cha Yanga kilichoweka kambi nchini Uturuki.
CHIRWA AKIWA UWANJA WA NDEGE WA
KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE (JNIA), TAYARI KWA SAFARI HIYO. AKIWA NA
MKUU WA KITENGE CHA HABARI NA MAWASILIANO CHA YANGA, JERRY MURO.
Chirwa
raia wa Zambia aliyejiunga na Yanga akitokea FC Platinums ya Zimbabwe
anatarajia kuanza mara moja mazoezi baada ya kutua nchini humo ili
kuchukua nafasi ya Tambwe.
Atachukua
nafasi ya Tambwe katika mechi dhidi ya TP Mazembe kwa kuwa mshambuliaji
huyo raia wa Burundi ana kadi mbili za njano zitazomzuia kucheza mechi
hiyo.
Chirwa
ameonekana akiwa ni mwenye furaha wakati alipokuwa Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), tayari kwa safari hiyo ya Uturuki.

Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: