Diamond Kuhusu Kumsaliti Zari Asema 'Simba Hawezi Kupita Kundi la Swala Bila Kula Hata Mmoja',,,,,,,,,,,
On the spot Tz
Diamond platnumz amesema kuwa yupo anajichanganya na wanawake wengi sana, anawindwa sana na wanawake na yeye akiamua kuwinda hakosi yoyote
Na pia amejifananisha yeye na simba na wanawake ni swala na kusema Simba akipita kwenye kundi la swala haachi kula angalau mmoja
MSIKILIZE HAPA:



onthespottz.blogspot.com
«
Next
VIDEO: Mwili wa Samuel Sitta ulivyowasili Dar es salaam,,,,,,,,,,,
»
Previous
LWANDAMINA AJIUZULU RASMI ZESCO SASA MKUU PANDE MKUU SAWA NDANI YA YANGA SC,,,,,,,,,,,,,

No comments:

Leave a Reply