Nicki Minaj Ambwaga Meek Mill..Chanzo Cha Kumwagana Hichi Hapa,,,,,,,,
On the spot Tz
Mastaa waliokuwa wapenzi kwa zaidi ya miaka miwili Meek Mill na Nicki Minaj wametengana.

Watu wa karibu na Couple hii wanasema Meek Mill amekuwa na maisha tofauti na Minaj huku Meek akitaka zaidi kuendelea na maisha yake ya mtaani na masela na Minaj akitaka kumbadilisha ili aishi kistaa zaidi.

Maisha ya zamani ya wasanii hawa wawili yanafanana ila Minaj hataki tena kuwa mtu wa HOOD sana ila Meek bado yuko ki HOOD sana.
onthespottz.blogspot.com
«
Next
Chadema Yaanza Kugawa Vifaa vya Operesheni UKUTA,,,,,,,,,,,,
»
Previous
MHABESHI AVUNJA REKODI BRAZIL,,,,,,,,,,,

No comments:

Leave a Reply