Posted by On the spot Tz
9:04:00 AM
0
Inawezekana uliwasikia wachambuzi wengi wa soka hasa hapa Tanzania wakisema leo ni kazi nyepesi kabisa kwa Leicester ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England kwa kuwa wanakutana na Hull City wakati wa ufunguzi wa ligi hiyo.
Lakini ukweli ni kwamba, walikosea maana mechi yenye imeisha kwa Leicester ambao ni mabingwa watetezi wa England kuambulia kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Hull City ambao ni maarufu kama Chui wakati wao wanatumia alama ya mbweha.
HULL CITY (4-1-4-1): Jakupovic 6; Elmohamady 6.5, Livermore 6.5, Davies 6.5, Robertson 6; Clucas 6.5; Snodgrass 7.5, Meyler 6, Huddlestone 6, Diomande 7.5; Hernandez 6.5
Subs not used: Kuciak, Maloney, Tymon, Bowen, Luer, Olley, Clackstone
Goals: Diomande 45+1, Snodgrass 57
Booked: Davies, Clucas
LEICESTER CITY (4-4-2): Schmeichel 6; Simpson 6.5 (Ulloa 83), Hernandez 5.5, Morgan 5.5, Fuchs 6.5; Mahrez 6.5, King 6 (Amartey 68, 6), Drinkwater 6, Gray 6 (Okazaki 68, 5.5); Musa 6.5, Vardy 5.5
Subs not used: Zieler, Chilwell, Albrighton, Kapustka
Goal: Mahrez 47
Booked: Fuchs, Simpson
Referee: Mike Dean 6
Attendance: 21,037
onthespottz.blogspot.com
Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
HARRY KANE ATWAA KIATU CHA DHAHABU ENGLAND,,,,,,,Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiwa na picha hya kiatu cha dhahabu cha Ligi Kuu ya Enfland baada ya kiibuka mfungaji bora...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Mwingine Adakwa Kwa Kumkashifu Rais Magufuli Kwenye Mtandao wa "WhatsApp",,,,,,,Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais ...








No comments: