Posted by On the spot Tz
10:32:00 PM
0
Mshambuliaji
wa Azam FC, Didier Kavumbagu ameanza mazungumzo na Mbeya City na muda
mchache ujao inaweza kumtangaza rasmi kuwa mchezaji wao.
Taarifa za ndani ya Mbeya City zinasema kwa asilimia kubwa, Kavumbagu raia wa Burundi na Mbeya City wamemalizana.
Ofisa Mtendaji wa Azam FC, Saad Kawemba amesema hawana tatizo kama Mbeya City na Azam FC wamemalizana.
“Hatjui
kama wanazungumza na kama wanazungumza basi hakuna tatizo kwa kuwa
mkataba wetu na Kavumbagu umebaki siku chache tu,” alisema.
Lakini mtu mwingine kutoka ndani ya Mbeya City amesema, klabu hiyo inatarajia kumtangaza Kavumbagu rasmi kesho.
Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
Mwingine Adakwa Kwa Kumkashifu Rais Magufuli Kwenye Mtandao wa "WhatsApp",,,,,,,Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais ...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Shilingi Bilioni 3 na Mali za Bilioni 10 zataifishwa na TRA Kutoka kwa Wakwepa Kodi Bandari Kavu ya Azam,,,,,,,Mamlaka ya kukusanya kodi TRA kupitia madalali wa Yono Auction Mart wamekusanya mali za bilioni 3 pamoja na kutaifisha mali za b...


No comments: