Posted by On the spot Tz
12:15:00 AM
0
Ni aibu kwa wachumi wetu kuendelea kutegemea soda na sigara kama chanzo cha mapato toka nchi ipate Uhuru 1961.
Nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Kenya ilikwisha acha kutegemea chanzo hicho kwani kimeonekana ni kuwatesa wananchi wake.
Nilitegemea wachumi wetu wangefuta misamaha ya kodi inayotolewa kwa wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa.
onthespottz.blogspot.com

Tagged with:
HABARI KITAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments: