Posted by On the spot Tz
2:31:00 AM
0
Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza rasmi
kumalizika homa ya ugonjwa hatari ya Ebola baada ya miaka miatatu ya
kushuhudiwa nchini humo na kusababisha idadi kubwa ya watu kupoteza
maisha.
Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza rasmi leo kuwa, sasa
ugonjwa huo umemalizika nchini Liberia. Ugonjwa wa Ebola ulioibuka
nchini humo mwaka 2013 na kusimama mwaka jana 2015, uliibuka tena mwezi
Machi mwaka huu na kusababisha mauaji ya mtu mmoja. Pamoja na hali hiyo
serikali ya Monrovia haikutangaza hali ya hatari nchini humo. Baada ya
hapo Shirika la Afya Duniani WHO sanjari na kutoa tahadhari kwa serikali
ya nchi hiyo, lilitoa muhula wa siku 42 kwa nchi hiyo kungamiza maradhi
hayo, ambao unamalizika leo Alkhamis Juni Tisa. Katika kipindi hicho
hakuna kesi yoyote iliyoripotiwa kuhisiana na ugojwa huo. Kwa mujibu wa
takwimu za Shirika la Afya Duniani kuanzia mwezi Disemba mwaka 2013,
karibu watu elfu 26 waliripotiwa kuambukizwa ugonjwa huo hatari huku
wengine elfu 11 wakipoteza maisha.onthespottz.blogspot.com

Tagged with:
KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
HARRY KANE ATWAA KIATU CHA DHAHABU ENGLAND,,,,,,,Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiwa na picha hya kiatu cha dhahabu cha Ligi Kuu ya Enfland baada ya kiibuka mfungaji bora...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Mashabiki na Wanachama wa Yanga Wachoma Magazeti Yanayomilikiwa na Reginald Mengi.,,,,,,Wanachama na mashabiki wa Yanga leo wakiyachana na kuyachoma moto magazeti ya The Guardian na Nipashe yanayomilikiwa na kampuni ya IPP MED...
No comments: