Posted by On the spot Tz
2:51:00 PM
0

NAPE |
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye amewaeleza
wachezaji wa kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17,
Serengeti Boys kwamba wameonyesha soka safi.
Nape
alikuwa uwanjani wakati taifa Stars ikipambana na Shelisheli na
kuwachapa kwa mabao 3-0 katika mechi ya kuwania kucheza michuano ya
Afrika.
“Kweli mmeonyesha soka safi, soka la kuvutia na kujituma. Niwaambie sisi kama serikali tumevutia na mlichokifanya.
“Matumaini yetu kama mtaendelea hivi ni kulisaidia taifa letu,” alisema.
Serengeti Boys ilionyesha soka la kuvutia na kuipa wakati mgumu Shelisheli.
Hata
hivyo, Serengeti Boys watalazimika kuwavaa vijana Shelisheli kwa mara
ya pili na kama watafuzu watakutana na Afrika Kusini ili kupata nafasi
ya kuwania kucheza michuano ya Afrika itakayofanyika mwakani nchini
Madagascar.

Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: