Posted by On the spot Tz
2:54:00 PM
0
Kikosi
cha Yanga kimetua nchini tayari kuwavaa wapinzani wao TP Mazembe na
Kocha Hans van der Pluijm amesema vijana wake wako tayari.
Yanga imewasili kwa mafungu baada ya kundi la kwanza kutangulia na hilo la pili kutua usiku wa kuamkia leo.
“Kwa mazoezi tuliyofanya, marekebisho ya makosa ambayo tuliyaona baada ya mechi huko Algeria, tunaamini tuko tayari.
“Tunajua
TP Mazembe ni timu kubwa, lakini tunataka kupambana na kufanya vema,”
alisema Pluijm ambaye kikosi chake kiliwasili kwa mafungu.
Yanga
inatarajia kushuka dimbani keshokutwa Jumanne kuwavaa Mazembe katika
mechi ya Kombe la Shirikisho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es
Salaam.

Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
HARRY KANE ATWAA KIATU CHA DHAHABU ENGLAND,,,,,,,Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiwa na picha hya kiatu cha dhahabu cha Ligi Kuu ya Enfland baada ya kiibuka mfungaji bora...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Mashabiki na Wanachama wa Yanga Wachoma Magazeti Yanayomilikiwa na Reginald Mengi.,,,,,,Wanachama na mashabiki wa Yanga leo wakiyachana na kuyachoma moto magazeti ya The Guardian na Nipashe yanayomilikiwa na kampuni ya IPP MED...
No comments: