Posted by On the spot Tz
4:39:00 PM
0
| MBEYA CITY NA BIN SLUM WALIPOINGIA MKATABA WA KWANZA |
Mbeya
City inatarajia kupata mkataba mwingine kutoka kwa kampuni maarufu ya
uuzaji matairi nchini ya Bin Slum Tyres kupitia betri zake imara za
magari za RB.
Taarifa zinasema, huenda mkataba mpya kati ya Bin Slum na timu hiyo ya Mbeya, ukamalizika leo na kusainiwa.
“Kweli,
leo linaweza kufanyika hilo suala. Bin Slum ni kampuni inayopenda
kudhamini masuala ya michezo lakini inapenda kufanya kazi na watu
wanaofanya mambo kwa weledi,” kilieleza chanzo.
Hatukufanikiwa kuwapata wahusika wa Bin Slum na tulielezwa walikuwa katika kikao.
Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
Mwingine Adakwa Kwa Kumkashifu Rais Magufuli Kwenye Mtandao wa "WhatsApp",,,,,,,Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais ...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Shilingi Bilioni 3 na Mali za Bilioni 10 zataifishwa na TRA Kutoka kwa Wakwepa Kodi Bandari Kavu ya Azam,,,,,,,Mamlaka ya kukusanya kodi TRA kupitia madalali wa Yono Auction Mart wamekusanya mali za bilioni 3 pamoja na kutaifisha mali za b...


No comments: