Posted by On the spot Tz
12:44:00 PM
0
BEKI Mkongomani anayeweza kucheza nafasi za kiungo pia, Mbuyu Junior Twite ameongeza Mkataba wa miaka miwili kuendelea kuichezea Yanga, lakini kiungo kutoka Niger Issoufou Boubacar Garba amepewa barua ya kuvunjiwa Mkataba.
Habari ambazo ONTHESPOTTZ – ONLINE imezipata kutoka Yanga SC, jioni hii zinasema kwamba Mbuyu amesaini leo saa chache baada ya Garba kupewa barua yake ‘send off’.

MBUYU TWITE JR
Na Garba ameambiwa tu anaachwa kwa sababu ya kushindwa kuwa katika kiwango kinachohitajika kwa matumizi ya timu, wakati Mbuyu kwa mara nyingine anavuna matunda ya jitihada zake uwanjani.
Garba alisajiliwa Yanga SC Desemba mwaka jana baada ya majaribio ya siku mbili tu, lakini tangu hapo amecheza mechi 11 tu na kufunga mabao matatu likiwemo lile la katika sare ya 1-1 na Al Ahly ya Misri mjini Dar es Salaam katika Ligi ya Mabingwa Afrika miezi miwili iliyopita.
Kabla ya Yanga, Garba amewahi kuchezea
AS FAN na AS Douanes za kwao Niger, Muangthong United na Phuket za Thailand, Club Africain na ES Hammam-Sousse za Tunisia.
Mbuyu Twite aliyesajiliwa Yanga SC miaka minne iliyopita kutoka APR ya Rwanda, katika kipindi chote amecheza mechi 135 na kufunga mabao manne.
onthespottz.blogspot.com

Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
HARRY KANE ATWAA KIATU CHA DHAHABU ENGLAND,,,,,,,Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiwa na picha hya kiatu cha dhahabu cha Ligi Kuu ya Enfland baada ya kiibuka mfungaji bora...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Mwingine Adakwa Kwa Kumkashifu Rais Magufuli Kwenye Mtandao wa "WhatsApp",,,,,,,Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais ...

No comments: