Mkenya Auawa na Polisi Kwa Kipigo .....Walikuwa Katika Maandamano Kutaka Tume ya Uchaguzi Iundwe Upya,,,,

Kijana mfuasi wa muungano wa upinzani nchini Kenya(CORD), Ben Ngari aliyeshambuliwa kinyama na polisi jana amefariki dunia kwa sababu ya majeraha yaliyompata

 

Wafuasi wa CORD jana waliandamana kushinikiza kuundwa upya kwa Tume ya Uchaguzi (IEBC).
onthespottz.blogspot.com
«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post


No comments:

Leave a Reply