Mei 2 2016 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imetoa maamuzi ambayo yameingia kwenye headlines, baada ya kuamua kutoa hati ya kutaka mikono ya sheria imkamate meya wa Kinondoni Boniface Jacob kutokana na kushindwa kufika mahakamani.
Boniface Jacob anatuhumiwa kumpiga mwandishi wa habari wa gazeti la UhuruChristopher Lissa na kumsababishia maumivu makali, hiyo ni kwa mujibu wa habari ambazo onthespottz.com imezipata lakini inaendelea kuzifuatilia kwa kina na kuweza kumpata meya huyo wa Kinondoni.
tmp_16881-02-1606006613
Boniface Jacob
CHANZO  CHA  HABARI  ; MILLADIAYO.COM
«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post


No comments:

Leave a Reply