Jezi  Za  Ngozi  Zawa  Gumzo  Hispania,,,

Timu ya daraja la tatu nchini Hispania ya Club Deportivo Palencia imezindua jezi yenye muonekano wa ngozi.

Jezi hiyo wataitumia wakati wa mechi za play off kuwania kupanda Segunda B yaani ligi daraja la pili.



Kauli mbiu ya timu hiyo kwa mashabiki wao ni “tunakupa ngozi zetu” na tayari imekuwa gumzo kubwa.
«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post


No comments:

Leave a Reply