HIVI NDIVYO YANGA WALIVYOKWEA PIPA KWENDA SAUZ, HALAFU WANAUNGANISHA HADI ANGOLA,,
Mabingwa wa Soka Tanzania Bara, Yanga wameondoka leo alfajiri kwenda nchini Angola kupitia Afrika Kusini wakiwa tayari kuwavaa wapinzani wao wa Kombe la Shirikisho Esperanca ya Angola.

Katika mechi ya kwanza jijini Dar es Salaam, Yanga ilishinda kwa mabao 2-0.






«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post


No comments:

Leave a Reply