Posted by On the spot Tz
8:04:00 PM
0
Yanga imeondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa jumla ya mabo 3-2 hiyo ni baada ya jana kufungwa bao la usiku na kupoteza mchezo kwa mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Borg El Arab jijini Alexandria nchini Misri.
Mara baada ya mchezo huo ambao wachezaji wa Yanga walipambana kwa nguvu zote mwanzo mwisho, baadhi yao waliangua kilio mara baada ya mwamuzi kupuliza kipenga cha mwisho kutokana na kazi kubwa waliyoifanya kuvurugika dakika za lala salama.
BALL BOYS WA MISRI WAKIWA HAWAAMINI KABLA YA DAKIKA TISINI KUMALIZIKA
Mashabiki Wa Al Ahly waki furika kwa shangwe baada ya mpira kumalizika
Mchezaji na mfungaji wa bao pekee la yanga Donald Ngoma
Ah Ahly ndiyo walikuwa kupata bao lakini Yanga wakasawazisha kupitia kwa Donald Ngoma ambaye alifunga kwa kichwa baada ya kuunganisha pasi nzuri ya beki wa kulia Juma Abdul.
Beki wa kushoto wa Yanga, Oscar Joshua hakuamini macho yake na alikuwa mmoja wa wachezaji walioangua kilio mara baada ya mwamuzi kupuliza kipenga kwa kuwa waliamini mchezo huo ungemalizika kwa sare ya bao 1-1 kisha kuongezwa dakika 30.
Mpaka kufikia dakika ya 90 matokeo yalikuwa 1-1, mwamuzi wa akiba akonyesha kuwa kuna dakika 5 za nyongeza, wakati huo kwenye benchi la Al Ahly wote walikuwa katika hali ya taharuki huku wakiwa hawaamini kilichokuwa kikitokea uwanjani.
Wakati ikionekana sasa mwamuzi anajiandaa kumaliza mchezo ndopo bao hili likaingia na wachezaji kujikuta wakianza kulia, kiungo Thaban Kamusoko aliwaongoza katika kuwatuliza.
Yanga sasa itashiriki katika mechi za mtoano za Kombe la Shirikisho baada ya kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa.
onthespottz.blogspot.com

Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
HARRY KANE ATWAA KIATU CHA DHAHABU ENGLAND,,,,,,,Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiwa na picha hya kiatu cha dhahabu cha Ligi Kuu ya Enfland baada ya kiibuka mfungaji bora...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Mwingine Adakwa Kwa Kumkashifu Rais Magufuli Kwenye Mtandao wa "WhatsApp",,,,,,,Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais ...

No comments: