Posted by On the spot Tz
1:18:00 PM
0
Mshambuliaji wa Leicester City, Leonardo Ulloa (kushoto) akishangilia na mchezaji mwenzake, Shinji Okazaki (katikati) baada ya kufunga bao la tatu katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power. Ulloa alifunga mabao mawili, wakati mengine yaamefungwa na Riyad Mahrez na Marc Albrighton.
Mshambuliaji wa Arsenal, Danny Welbeck (katikati) akifumua shuti katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo dhidi ya Sunderland Uwanja wa Light, timu hizo zikitoka sare ya 0-0
onthespottz.blogspot.com

Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: