Posted by On the spot Tz
1:24:00 PM
0
Mshika kibendera namba moja, Charles Simon akiwa amelala chini baada ya kushambuliwa kwa mawe na mashabiki Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakati wa mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC), ambao ulivunjika dakika ya 110 Yanga SC ikiwa inaongoza 2-1 dhidi ya wenyeji, Coastal UnionAskari Polisi wakimsindikiza Charles Simon kutoka uwanjani baada ya kupatiwa huduma ya kwanzaDaktari wa Yanga, Edward Bavu akimsaidia Charles Simon baada ya kujeruhiwa na mashabiki Uwanja wa Mkwakwani

Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: