Posted by On the spot Tz
10:26:00 PM
0
Rais John Pombe Magufuli
Baadhi ya wilaya ziliachwa wazi na Wakuu wa Wilaya baada ya kuteuliwa katika nafasi zingine za uongozi, April 18 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amemteua Hamphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mkoani Mara.
Polepole anachukua nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Kamishna Msadizi mwandamizi wa polisi (Mstaafu) Zelothe Steven ambaye sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa. Uteuzi wa Hamphrey Polepole umeanza leo tarehe 18 Aprili, 2016.
Humphrey Polepole

Tagged with:
HABARI KITAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: