Posted by On the spot Tz
10:11:00 PM
0
Mchezo wa marudiano kati ya Azam FC dhidi ya Esperance utachezeshwa na marefa wa Morocco.
Marefa wa nchi jirani na Tunisia, Morocco ndiyo watachezesha mechi ya marudiano hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho Afrika kati ya wenyeji, Esperance dhidi ya Azam FC ya Tanzania.
Mechi hiyo itachezwa leo Uwanja wa Olimpiki mjini Rades na marefa watakuwa ni Redouane Jiyed atakayepuliza filimbi akisaidiwa na Mouhib Abdallah Filali na Essam Benbaoa wote wa Morocco.

Azam FC inahitaji kuulinda ushindi wake walioupata kwenye mchezo wa kwanza wa 2-1 Dar es Salaam ili kusonga mbele katika mchujo wa kuwania kupangwa makundi ya ligi ndogo ya michuano hiyo.
Mechi ya marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika kati wenyeji Ahly na Yanga Uwanja wa Borg el Arab mjini Alexandria, Misri Jumatano utachezeshwa na marefa wa Mali.
Mechi ya marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika kati wenyeji Ahly na Yanga Uwanja wa Borg el Arab mjini Alexandria, Misri Jumatano utachezeshwa na marefa wa Mali.
Marefa hao ni Mahamadou Keita atakayepuliza kipyenga akisaidiwa na Balla Diarra na Drissa Kamory Niare, wote wa Mali.
Yanga inahitaji ushindi wa ugenini Jumatano ili kwenda hatua ya makundi ya michuano hiyo, baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam.
Iwapo Yanga itatolewa, itakwenda kumenyana na moja ya timu nane zilizofuzu kwenye Kombe la Shirikisho kuwania kupangwa kwenye makundi ya kucheza michuano hiyo ya pili kwa ukubwa ya CAF katika ngazi ya klabu

Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
Mwingine Adakwa Kwa Kumkashifu Rais Magufuli Kwenye Mtandao wa "WhatsApp",,,,,,,Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais ...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Shilingi Bilioni 3 na Mali za Bilioni 10 zataifishwa na TRA Kutoka kwa Wakwepa Kodi Bandari Kavu ya Azam,,,,,,,Mamlaka ya kukusanya kodi TRA kupitia madalali wa Yono Auction Mart wamekusanya mali za bilioni 3 pamoja na kutaifisha mali za b...

No comments: