Posted by On the spot Tz
9:24:00 AM
0
WANANCHI katika kijiji Kaseke kata ya Kasami wilayani na Mkoani Geita wamekubwa na taharuki na wasiwasi mkubwa mara baada ya Geresi Saidi( 20) Kujifungua mtoto wa kiume mwenye vichwa viwili vinavyofanana sura.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jumapiri majira ya saa sita usiku katika katika kituo cha afya katoro alikwenda kujifungua muda mfupi baada ya kupata uchungu.
Channel Ten ilifika kijiji hapo na kushudia viumbe hao huku mamia yawananchi kutoka kila kona wakifika na kushudia tukio hilo na hapa mashuhuda wakaeleza ilivyokuwa.
Baba mzazi wa mtoto huo Stefano Lugisha amesema pamoja na mke wake kujifungua mtoto huyo lakini ana imani kama ni mipango ya mungu kama amavyoeleza.
Diwani wa kata hiyo Anderea Karamura pamoja na mwenyekiti wa kijiji Zakaria Rukas wamewataka wananchi wao kutoliusisha tukio hilo na imani za kishilina swara hilo.
Akiongea kwa njia ya simu mganga kitua hicho aliyempokea mama huyona kumzalisha Peter Janga amedhibitisha kutokea kwa na kwamba uchunguzi wa kina unafanyika ili kubaini nini tatizo kwa mama huyo ambaye hiyo ilikuwa ni nzao ya kwanza na kuongeza kuwa kiumbe hicho kilipoteza maisha baada ya muda mfupi.
onthespottz.blogspot.com
Tagged with:
HABARI KITAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
Picha za Zari Hassan Akijiachia Kuonyesha Ujauzito Wake,,,,,,,,,,Mpenzi wa Diamond Platnumz, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ akijiachia kuonyesha mimba yake, wanatarajia kupata mtoto wa pili na mpenz...
No comments: