Posted by On the spot Tz
2:08:00 AM
0

Wachezaji wa Manchester United wameonyesha hofu katakana na taarifa za ujio wa kocha Jose Mourinho anayeelezwa anatarajia kuchukua mikoba ya Louis van Gaal.
The Special One ndiye gumzo, kwamba atachukua mikoba ya van Gaal licha ya kocha huyo kuiwezesha Man United kubeba Kombe la FA.
Taarifa kutoka ndani ya Manchester United kupitia Sportsmail zimeeleza wachezaji wakongwe wa Man United wanaonyesha kutofurahishwa na hilo.
Huenda ni hofu ya kupoteza ajira, kwa kuwa wanaamini iwapo Mreno huyo atapata nafasi, lazima atafanya mabadiliko makubwa.
Hofu yao nyingine ni kwamba, Mourinho hawezi kwenda na mfumo kama wa van Gaal, hivyo atabadili mambo mengi na kuwachanganya.
Imeelezwa uongozi wa Man United, ulitoa pauni million 4 na kumpa Mourinho iliasijiunge na timu nyingine kusubiri waachane na van Gaal na kumchukua yeye.

Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: