Posted by On the spot Tz
3:23:00 PM
0
Vijana wa Serengeti Boys wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Malaysia katika mchezo wa kumtafuta mshindi wa tatu katika michuano ya vijana ya AIFF ya nchini India.
Ushindi huo unaipa Serengeti Boys nafasi ya tatu kupitia mabao matatu yaliyofungwa na Rashid Abdallah katika dakika ya 13, Shabani Zubeiri katika dakika ya 41 na Mushin Malima akamalizia bao la tatu katika dakika za lalasalama za kipindi cha kwanza.

onthespottz.blogspot.com

Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: