'MPIGANAJI' ROONEY TAYARI KUIPA MAN UNITED NDOO YA FA,,,,,,
Nahodha wa Manchester United, Wayne Rooney akikimbia kwenye mazoezi ya timu yake jana viwanja vya Carrington kujiandaa na mchezo wa fainali ya Kombe la Fainali England kesho dhidi ya Crystal Palace Uwanja wa Wembley.
onthespottz.blogspot.com
«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post


No comments:

Leave a Reply