BAADA  YA  KUKAA  SOBBER  HOUSE  HUYU  NDIYE  CHID  BENZ  WA  LA  FAMILIA,,,,,
CHID BENZ

Toka msanii Chid Benzi akubali msaada wa kumsaidia kuachana na madawa ya kulevya na kupelekwa Sober House Bagamoyo afya yake kwa sasa inaendelea vizuri sana na mwili wake umeanza kunawiri tofauti na alivyokuwa mwanzo kabla hajapelekwa...

Ikumbukwe kuwa Meneja wa Diamond na Tip Top Babu Tale ndio aliyeamua kumsaidia baada ya Chid kuonekana kwenye TV akiwa katika hali iliyowatisha watu wengi na kuhoji amekumbwa na nini kwani mwili wake ulionekana kudhoofu sana na kukonda kupita kiasa.

onthespottz.blogspot.com



«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post


No comments:

Leave a Reply