AFISA  MKUU  WA  JESHI  LA  BURUNDI  AMEUWAWA  KWA  KUSHAMBULIWA  NA  WATU  WASIOJULIKANA,,,,

Afisa mkuu wa jeshi la Burundi ameuawa pamoja na mkewe baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana mjini Bujumbura.

Jenerali Athanase Kararuza na mkewe wameuawa wakiwapeleka watoto wao shuleni

Jenerali huyo ndiye afisa wa juu zaidi wa jeshi kuuawa katika mji huo mkuu wa Burundi tangu kufanyika kwa jaribio la kupindua serikali ya Rais Pierre Nkurunziza mwaka jana.
onthespottz.blogspot.com
«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post


No comments:

Leave a Reply