
Posted by On the spot Tz
9:37:00 PM
0
Mchezo
wa kutafuta nafasi ya kushiriki Kombe la Dunia 2018 linalotaraji
kufanyika nchini Urusi kati ya Brazil na Argentina umemalizika kwa
wenyeji Brazil kuibua na ushindi wa goli 3-0.
Magoli
ya Brazil yamefungwa na Philippe Coutinho dakika ya 25, Neymar dakika
ya 45 na Paulinho katika dakika ya 59 ya mchezo huo.
Kwa
ushindi huo, Brazil imefikisha alama 24 ikiwa katika nafasi ya kwanza,
ikifuatiwa na Uruguay yenye alama 23, Colombia ikishika alama ya tatu na
alama 18 huku Argentina ikiwa nafasi ya sita na alama 16.
Matokeo ya michezo mingine ni;
Colombia 0 – 0 Chile
Uruguay 2 – 1 Ecuador
Paraguay 1 – 4 Peru
Venezuela 5 – 0 Bolivia
Colombia 0 – 0 Chile
Uruguay 2 – 1 Ecuador
Paraguay 1 – 4 Peru
Venezuela 5 – 0 Bolivia

Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
-
HARRY KANE ATWAA KIATU CHA DHAHABU ENGLAND,,,,,,,Mshambuliaji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane akiwa na picha hya kiatu cha dhahabu cha Ligi Kuu ya Enfland baada ya kiibuka mfungaji bora...
No comments: