Posted by On the spot Tz
9:51:00 AM
0
Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasiozidi miaka 20 katika mechi ya kuadhimisha miaka 22 tangu mauaji ya kimbari nchini Rwanda. Mchuano huo wa kumbukumbu, kati ya Rwanda na Morocco ulioandaliwa katika uwanja wa Amahoro, mjini Kigali ulikamilika kwa sare ya goli moja.
Ingawa wote wawili hawakukamilisha mechi hiyo. Kocha wa Rwanda Kayiranga Jean Baptista aliwapa nafasi ikiwa ni mechi yao ya kwanza kuvaa sare ya timu ya taifa ya soka.
Ian Kigenza Kagame alijumuishwa katika kikosi kilichoanza kabla ya kumpisha Park Udahemuka kunako dakika ya 27.
Rwanda maarufu nyigu wachanga walitangulia katika dakika ya kwanza kupitia Blaise Itangishaka. Hata hivyo Morocco ilisawazisha katika dakika ya 43 baada ya Morocco Dari Achraf kumuandalia krosi Hicham Boussoufiane.
Kunako dakika ya 74, Kitinda mimba wa familia ya kagame, Bryan Kagame alichukua nafasi yake Djabel Manishimwe.
Baba yao wawili hao, Rais Paul Kagame ni shabiki wa soka na tenisi na ni shabiki sugu wa klabu ya Arsenal ya Uingereza.
onthespottz.blogspot.com

Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA

On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.You May Also Like
VIDEO: Coutinho, Neymar, Paulinho waibeba Brazil kupata ushindi dhidi ya Argentina ,,,,,,,,,,
MJUE ABBAS PIRA MCHEZAJI ANAEWIKA ULAYA JAPO HAPATI NAFASI KATIKA TIMU YA TAIFA,,,,,,,,,,
PAUL POGBA AAMBIWA HUWEZI KUWA MESSI WALA RONALDO,,,,,,,,,
PAUL POGBA KUCHEZA DHIDI YA SOUTHAMPTON
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
- quantalfaggart says:
Best Casinos in Las Vegas, NV - Mapyro
The best casinos in Las... more
Pageviews
64,566
No comments: