Posted by On the spot Tz
2:40:00 PM
0
Uongozi wa Yanga umeamua mechi yao dhidi ya TP Mazembe keshokutwa Jumanne itakuwa bure.
Mashabiki
wataingia bila kulipa kiingilio kushuhudia mechi hiyo ya Kombe la
Shirikisho itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Imeelezwa,
uamuzi huo umepitishwa usiku huu baada ya viongozi wa Yanga kukutana
katika kikao cha pamoja na Mwenyekiti, Yusuf Manji.
"Kikao ni kati ya baadhi ya viongozi pamoja na mwenyekiti. Uamuzi ni kwamba mechi hiyo itakuwa haina kiingilio na mashabiki waaruhusiwa kwenda kwa wingi kuishangilia Yanga," kilieleza chanzo.
"Si lazima kila shabiki anayekuja awe wa Yanga, waambie na mashabiki wa Simba waje. Hata kama watabeba bendera tu za Tanzania.
"Yanga ni ya Tanzania, Yanga haitokei Congo na TP Mazembe haitokei Tanzania, waje waishangilie timu ya Tanzania."
onthespottz.blogspot.com

Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
WATOTO WA KAGAME WAITIKISA TIMU YA TAIFA YA RWANDA,,,,,,Kwa mara ya Kwanza wanawe rais wa Rwanda Paul Kagame, Bryan Kagame na Ian Kagame waliiwakilisha timu ya taifa ya Rwanda kwa wachezaji wasi...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: