Mr II Sugu Kuhojiwa na CloudsTV Kwa Mara ya Kwanza Toka Amalize Tofauti,,,,,,,,,
On the spot Tz
Joseph Mbilinyi ameanza ku-trend kwenye mitandao ya kijamii kupitia tangazo linaloonyesha atahojiwa na CloudsTV Ijumaa May 27 2016, ameanza kutrend hata kabla Interview yenye haijaonyeshwa na hii ni kutokana na sababu kadhaa ikiwemo ya kuwa hii ni Interview yake ya CloudsTV ya kwanza toka amalize tofauti zake na CMG.

Mbunge huyu wa Mbeya mjini ambaye ni mmiliki wa single mpya ya Freedom aliipost hii picha kwenye page yake ya Instagram na kuonyesha wazi ameshaachana na tofauti zilizokuwepo na kwa roho safi maisha yanaendelea bila beef :
onthespottz.blogspot.com
«
Next
Video : Ukitaka Kumuoa Lulu Michael Lazma Uwe na Vitu Hivi, Mskie Mwenyewe Hapa,,,,,,,,,
»
Previous
Shilingi Bilioni 3 na Mali za Bilioni 10 zataifishwa na TRA Kutoka kwa Wakwepa Kodi Bandari Kavu ya Azam,,,,,,,

No comments:

Leave a Reply