Posted by On the spot Tz
7:39:00 AM
0
Kocha Mkuu wa timu ya soka Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa, Jumatano ijayo atarajiwa kutangaza kikosi cha wachezaji wake wakaokwenda Kenya kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika jijini Nairobi, Mei 29, 2016.
Taifa Stars, itatumia mchezo huo utakaotambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) katika rekodi zake, pia utatumiwa na kikosi cha Mkwasa kujiandaa dhidi Mapharao wa Misri katika mchezo wa kuwania kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Africa (AFCON). Taifa Stars na Misri zinatarajiwa kuumana Juni 4, 2016 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
Mwingine Adakwa Kwa Kumkashifu Rais Magufuli Kwenye Mtandao wa "WhatsApp",,,,,,,Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais ...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Shilingi Bilioni 3 na Mali za Bilioni 10 zataifishwa na TRA Kutoka kwa Wakwepa Kodi Bandari Kavu ya Azam,,,,,,,Mamlaka ya kukusanya kodi TRA kupitia madalali wa Yono Auction Mart wamekusanya mali za bilioni 3 pamoja na kutaifisha mali za b...



No comments: