Posted by On the spot Tz
12:26:00 PM
0
![]() |
| Ben Sajjabi akiwa amelala chini baada ya kuchapwa ngumi ya uzito wa juu na Chichi Mawe |
![]() |
| Bondia Thomas Mashali (kulia) wa Tanzania akimchapa konde Sajad Mehrabi wa Iran katika pambano la uzito wa Super Middle usiku wa jana kuwania ubingwa wa dunia wa UBU. Mashali alishinda kwa pointi |
![]() |
| Mashali na Mehrabi wakionyesha ujuzi wa mchezo wa ngumi usiku wa jana Uwanja wa Taifa |
![]() |
| Mashali na Mehrabi walipigaa kwa taundi 12 katika pambano kali na la kusisimua |
![]() |
| Bondia Allan Kamote wa Tanzania (kushoto) akiwa amemchapa konde Salim Chazama wa Malawi katika pambano la uzito wa Light jana. Mabondia hao walitoka sare |
![]() |
| Bondia Ramadhani wa Tanzania (kulia) akimchapa konde Osgood Kayuni wa Malawi (kushoto) katika pambano la uzito wa Welter. Shauri alishinda kwa pointi |
![]() |
| Bondia Saleh Mkalekwa wa Tanzania (kushoto) akikwepa ngumi ya Mkenya, James Onyango (kulia) katika pambano la uzito wa Welter jana kuwania ubingwa wa UBO. Mkalekwa alishinda kwa pointi |
![]() |
| Bondia Nassib Ramadhani wa Tanzania (kulia), akimuadhibu Remmy Iga wa Uganda usiku wa jana Uwanja wa Taifa katika pambano la uzito wa Super Bantam. onthespottz.blogspot.com |
Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
Mwingine Adakwa Kwa Kumkashifu Rais Magufuli Kwenye Mtandao wa "WhatsApp",,,,,,,Sheria ya Makosa ya Kimtandao inaendelea kushika kasi, mwingine tena aingia matatani baada ya kubainika kutumia Lugha mbaya dhidi ya Rais ...
-
Old Trafford Kwategwa Bomu Hewa,,,Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester Uni...
-
Shilingi Bilioni 3 na Mali za Bilioni 10 zataifishwa na TRA Kutoka kwa Wakwepa Kodi Bandari Kavu ya Azam,,,,,,,Mamlaka ya kukusanya kodi TRA kupitia madalali wa Yono Auction Mart wamekusanya mali za bilioni 3 pamoja na kutaifisha mali za b...












No comments: