KUTOKA BUNGENI: Hotuba ya Lema yazuiliwa kusomwa mpaka Kamati ya kanuni iipitie..

Hotuba ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani ya Msemaji Mkuu wa Wizara ya Mambo Ndani ya Nchi, Godbless Lema imezuiliwa kusomwa.

Imezuiliwa kusomwa mpaka kwanza kamati ya Kanuni ya Bunge iipitie hotuba hiyo kabla ya kusomwa bungeni ili kuangalia kama hotuba hiyo imekiuka kanuni za Bunge.
«
Next

Newer Post

»
Previous

Older Post


No comments:

Leave a Reply