Posted by On the spot Tz
10:26:00 PM
0
NDOTO za mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta kucheza michuano ya Europa League mwakani zinaelekea kuwa ngumu kutimia baada ya jana timu yake, KRC Genk kufungwa mabao 2-0 na Sporting Charleroi.
Katika mchezo huo wa kwanza wa mchujo wa mwisho kuwania nafasi ya mwisho ya kucheza Europa League uliofanyika Uwanja wa Pays de Charleroi mjini Charleroi, Samatta alianzia benchi kabla ya kuingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Yoni Buyens dakika ya 55.

Baada ya kipigo hicho cha mabao ya Msenegali Amara Baby dakika ya 43 na Mfaransa Jeremy Perbet dakika ya 50, sasa Genk inatakiwa kushinda 3-0 katika mchezo wa marudiano Jumapili nyumbani ili kukata tiketi ya Europa League 2017.
Samatta jana amecheza mechi ya 17 tangu ajiunge na Genk akitoka kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Afrika na TP Mazembe pamoja na kutwaa tuzo ya Mwanasoka Bora Anayecheza Afrika.
Katike mechi hizo, ambazo tisa ameanza, mshambuliaji huyo wa zamani wa Simba SC ya Dar es Salaam, amefunga mabao nne, moja katika kila mechi Genk ikishindia 2-1 ugenini dhidi ya wenyeji SV Zulte-Waregem, 4-0 na 4-1 dhidi ya KV Oostende na 3-2 dhidi ya Club Brugge.
onthespottz.blogspot.com

Tagged with:
MICHEZO KIMATAIFA
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: