Posted by On the spot Tz
10:44:00 AM
0
Mashabiki wa timu ya Coastal Union wameandaa wimbo maalum kwa ajili ya Yanga lakini watakuwa wakiimba kwa lugha ya Kiarabu.
Yanga
watakuwa wageni wa Coastal Union katika mechi ya nusu fainali ya Kombe
la FA itakayopigwa kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga, kesho.
Coastal Union imeingia nusu fainali baada ya kuitwanga Simba kwa mabao 2-1 katika hatua ya robo fainali.
Mashabiki hao, wameamua kutumia wimbo wa Kiarabu kwa jina la “Helua Helua”, ili kuwachanganya Yanga.
Said
Salim, mmoja wa mashabiki wa Coastal Union ameiambia SALEHJEMBE, kwamba
watakuwa wakifanya hivyo ili kuwaonyesha kweli wao ni Waarabu wa Tanga.
“Wanatuita
Waarabu wa Tanga, sasa wanakuja kuchukua zao tatu hapa. Tutaendelea
kupambana, kwamba tunafunga wao, wakati tunasubiri fainali, tunawamaliza
huku jirani zetu na kubaki ligi kuu,” alisema.

Tagged with:
MICHEZO KITAIFA.
On the spot Tz
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
-
Kiongozi wa Upinzani Uganda Besigye Ashtakiwa Kwa Uhaini,,,Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye ameshtakiwa kwa kosa la uhaini baada ya kujitangaza mshindi wa uchaguzi uliofanyika hiv...
-
Makahaba Dar es Salaam Wamzidi Nguvu Paul Makonda,,,,,,,,,Ving’ang’anizi! Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda la kuwataka akina dada wanaouza miili ‘makahaba’ kuondoka kwenye ‘mas...
-
UCHAGUZI MAREKANI WAPAMBA MOTO,,,,,Wagombea Urais marekani Licha ya ushindi wa Trump wa Jumanne ya jana kuzidi kumuhak...
No comments: